Mwanzo » » SNURA MAJANGA AKIRI BAADHI YA MAMBO NA KUKATAA KUWA YEYE SIO MSHIRIKINA.

SNURA MAJANGA AKIRI BAADHI YA MAMBO NA KUKATAA KUWA YEYE SIO MSHIRIKINA.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday 27 March 2014 | 10:12


Snura Mushi 'Mamaa Majanga'.

MAMA Majanga, Snura Mushi amefunguka kuwa katika maisha yake, hahusudu masuala ya kishirikina.Akizungumza na paparazi wetu baada ya kuvuja kwa picha zilizomuonesha akiwa kwa mganga, Snura alisema hazikuwa kwa mganga wa kweli kwani yeye haamani mambo ya kishirikina.


“Mimi na ushirikina ni vitu viwili tofauti, namtegemea zaidi Mungu katika maisha yangu, hata hizo picha zilizovuja sikuwa kwa mganga wa kweli bali ilikuwa naigiza filamu,” alisema Snura.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa