Mwanzo » » DRAKE INAWEZAKA ANAVUKA MIPAKA YA MWILI WA RIHANNA

DRAKE INAWEZAKA ANAVUKA MIPAKA YA MWILI WA RIHANNA

Imewekwa ma Unknown siku Sunday, 17 November 2013 | 14:14

Hali hiyo inaonekana kuwa wazi wazi mbali na kuwa wao ni mara kadhaa wamekuwa wakikanusha kuwa hawahuiani kimapenzi na kuwa kuna kipindi cha kutoka kwa wimbo wa 'WHATS MY NAME ' yake Rihanna,Rihanna na Drake alionekana nchini CANADA anakozaliwa Drake wakila bata za hapa na pale huku pozi zao zikiwa ni zile unazoweza kuziita kama pozi zenye chembe za mahaba ndani yake..
rRIHANNA NA DRAKE

Katika ufatano wa matukio yanayowahusu wawili hawani ni kama hivi katika siku za hivi karibuni wawili hao wamekuwa wakipeana ushirikiano ambapo Draki alionekana katika show ya mwandada Rihanna huko Dallars na haikuishia hapo na Rihanna aliamua kulipa fadhira kwa kuudhira kwa kufika katika Show ya DRAKE huko Houston,Marekani.

Then baada ya ushirikiano huo wawili hao wajitupa moja club maarufu kama STRIPPER Ambako huko walitumia pesa kiasi cha matumizi ya shiling Dola 12,000 kwa kuwatunza STRIPPERS yaani akina dada wanaotumbuiza nusu utupu katika club hiyo tukio liliofanyika usiku kucha huku bati likiliwa na alfajiri DRAKE na RIHANNA waliondoka pamoja ishara ya kuondoka kwao ilikuwa ni kweda kupumzika baada ya party kali.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa