Baada ya siku kadhaa zilizopita msanii Pro Jay kuchukua kadi ya cha cha demokrasia na maendelea na sasa msanii mwingine aliyewahikujizolea mashabiki wa lika zote kwa utunzi wa nyimbo zenye ujumbe mzito na hata kuweza kuchukua tuzo ya mfalme kwa muziki bongo sasa nayeye atangaza kuwa mwanchana rasmi wa cha cha demokrasina na maendelleo CHEDEMA.
|
HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA AFANDE SELE KIPITIA UKURASA WAKE KUHUSU YEYE KUWA MWANCHAMA RASMI WA CHADEMA |
|
AFANDE SELE |
|
AFANDE SELE AKIWA NA MWACHAMA MWENZAKE PROFESA JAY. |
Post a Comment