AY,PREZZO NA VICTORIA KIMANI |
Msanii A.Y amefunga safari kwenda chini KENYA sio kwenda kula bata bli ni mishe za kazi tu na waliokatika mapango huu wa kazi ni PREZZOna Mwanadada VICTORIA KIMANI ambapo kupitia account ya A.Y ya mtabdao wa instagram alipost picha yake akiwa na wakali PREZZO na VICTORIA KIMANI akiwa katika set ya shoot hivyo ni wazi wako katika kushoot ngoma mpya toka kwa A.Y ataitoa wakati wowote toka sasa.
Post a Comment