Mwanzo » » MAINDA: NIMEACHA KUTUMIA MKOROGO KWASABABU KIDINI NI DHAMBI.

MAINDA: NIMEACHA KUTUMIA MKOROGO KWASABABU KIDINI NI DHAMBI.

Imewekwa ma Unknown siku Monday, 18 November 2013 | 15:53

RUTH SUKA ''MINDA''
Msanii wa bongo movie Ruth Suka alimaarufu kama Minda amesema hayo alipokuwa akizungumza na shushushu wetu na amebainisha kuwa ameamua kuacha kutumoa mkorogo yaani kujichua kwani amesema kufanya hivyo mbali na kuharibu ngozi pia ni dhmbi kwa mungu kwasababu hata mungu hapendi.




Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa