KAJALA MSANJA |
Msanii wa filamu Tanzania maarufu kama Bongo movie Kajala Masanja 'Kajala' ambaye anakabiliwa na mashtaka ya uhamishi wa umiliki wa nyumba na utakatishaji wa fedha leo imepigwa tarehe baada ya mumewe kukata rufaa,ambapo leo ilikuwa ni siku ya hukumu na hukumu kuhailishwa baada ya haikmu aliyekuwa ahukumu kesi hiyo kupata hudhuru na kesi hiyo kupigwa tare 22 Novemba siku ambayo ndio hukumu itatolewa.
Post a Comment