 |
STEVE RnB |
Ni Steve RnB aliyefanya tukio la kipekee ambalo si kawaida kwa wasanii hasa wa Bongo Fleva kuweka wazi na kusema ukweli wa mahusiano yao hata kuvishana pete lakini kwa Steve RnB abaye amewahi kufanya vizuri na wimbo USINIHUKUMU wimbo ambao tukiutazama kwa jicho la kutohukumu watu ni kweli kwamba hatuna sababu za kumuhukumu Steve sawa na wasanii wengine kwasababu yeye ameonesha utofauti na kuamua kumvisha pete ya uchumba Binti ambaye amekua naye kimasomo kwani wamesoma shule wote na hata penzi lao wakiwa shule limewahi uwafukuzisha shule lakini mpaka kufika sasa bado wako wote na hatimaye Steve amemvalisha pete ya uchumba.
.jpg) |
picha ya tukio la uvalishanaji wa pete |
Post a Comment