Mwanzo » » MSHIRIKI WA MAISHA PLUS AANZA TABIA ZA USAGAJI NCHINI DUBAI

MSHIRIKI WA MAISHA PLUS AANZA TABIA ZA USAGAJI NCHINI DUBAI

Imewekwa ma Unknown siku Thursday, 21 November 2013 | 16:22

JACK AKIWA KATIKA HALI YA MAPENZI NA MSICHANA MWENZAKE
Mshiriki wa maisha plus season 2 Jackline Dunstan ''JACK'' aishiye nchini DUBAI kwasasa amewashangaza kupost picha mtandaoni inayomuonesha kula denda na msichana mwenzake jambo ambalo sio lakawaida kuona msichana akila denda tabia ambayo ufanywa na wasichana wasagaji na mbali na wadau wa mtandao huo wa instaram kumsihi atoe picha ile kwa maana ni uchafu hakukuwa na itikio laombi hilo na kudhihirisha kuwa kuna dalili za udhamiriaji wa vitendo vya namna hiyo na ndio maana meamua kuweka hadharani kupitia mtandaoni.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa