Mwanzo » , » LIL WAYNE AMAILIKI NYUMBA YA BILLION 22 ZAIDI ZA KITANZANIA,TAZAMA KONA ZOTE ZA NYUMBA YAKE HAPA

LIL WAYNE AMAILIKI NYUMBA YA BILLION 22 ZAIDI ZA KITANZANIA,TAZAMA KONA ZOTE ZA NYUMBA YAKE HAPA

Imewekwa ma Unknown siku Thursday, 21 November 2013 | 22:34

LIL WAYNE
Rapper ni msanii amabye ni wazi wanaofatilia muziki wa hip hop kimataifa watakubali uwezo wa LIL WAYNE ni mkubwa kutkana ni kutoa hit kali kila kunapokucha.

Ni mzaliwa wa mwaka 1982,mwezi ni Septemba ikiwa tarehe ni 27 ambaye kuzaliwa kwake alipatiwa jina la DWAYNE MICHAEL CARTER na yeye kisana akajulikana kama LIL WAYNE ana kipindi cha nyuma kabisa alikuwa ni msanii amnaye amejituma mpaka kufika sasa jambo lililompatia tuzo kadhaa kutoka awards tofauti na ni msanii amaye akipatiwa collabo hana shida kikubwa anachokifanya ni kuonesha uwezo wake katika kila kazi anayofaya.


LIL WAYNE anamiliki jumba kama linayoonekana katika picha lenye thamani ya dola za kimarekani elfu 14 ambazo kwa hesabu tu haraka ni billion 22 na nusu fedha za kitanzania na iko na vvumba zaidi ya 6 pamoja na vyumba vya wageni,swimmig pool,gereji tatu na eneo la yeye kutulia na kupika kinada wakati wa mapumziko na jengo hilo linapatiaka na Miami karibu na ufukwe wa bahari





















Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa