HAPA WAKIWA KATIKA MLANGO WA WALIOWASILI WAAKIHOJIANA NA WAANAHABARI KUTOKA KITUO CHA MATANGAZO EATV NA EARADIO. |
Wale wakuitwa mapacha wawili P-SQUARE usiku huu wameshatinga ndani ya jiji la Dar es Salaam kwa kishindo kikaliiiiiiiiii hahahaaa #hadiRAHA sasa hiyo kesho Jumamosi pale viwanja vya Leaders Club ndio patachimbika. Wasanii kutoka bongo watakaosindikiza show hii ni pamoja na Prof Jay, Lady Jay Dee, Joh Makini na Ben Pol.
Post a Comment