TANGAZA NASI

LIKE UKURASA WETU ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI

Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By Blogger Widgets

Habari mpya
Showing posts with label Habari picha. Show all posts
Showing posts with label Habari picha. Show all posts

RECHO WA UPEPO ATUPIA TATOO YAKE YA PAJA MTANDAONI BILA KUOGOPA WALA WASI WASI.

Imewekwa ma Click BongoTz siku Tuesday, 25 March 2014 | 19:53


SHUHUDIA PICHA 40 UKIWA WA KWANZA ZA SHOW NZIMA YA P-SQUARE LIVE IN DAR

Imewekwa ma Unknown siku Sunday, 24 November 2013 | 19:04

































HUYU NDIYE ALIYEKUWA BEAUTIFUL ONYINYE WA USIKU WA P-SQUARE LIVE IN DAR NA ALIONDOKA NA SAA YA PETER




JUKWAA MAPEMA LILIKUWA HIVI



JIDE ALIKINUKISHA WATU JOTO LIKAWA PAMOJA NA FURAHA

P-SQUARE WAMETUA DAR SALAMA SALIMINI(PICHA) TUKIO ZIMA UWANJA WA NDEGE

Imewekwa ma Unknown siku Friday, 22 November 2013 | 00:38

HAPA WAKIWA KATIKA MLANGO WA WALIOWASILI WAAKIHOJIANA NA WAANAHABARI KUTOKA KITUO CHA MATANGAZO EATV NA EARADIO.




Wale wakuitwa mapacha wawili P-SQUARE usiku huu wameshatinga ndani ya jiji la Dar es Salaam kwa kishindo kikaliiiiiiiiii hahahaaa #hadiRAHA sasa hiyo kesho Jumamosi pale viwanja vya Leaders Club ndio patachimbika. Wasanii kutoka bongo watakaosindikiza show hii ni pamoja na Prof Jay, Lady Jay Dee, Joh Makini na Ben Pol.

LIL WAYNE AMAILIKI NYUMBA YA BILLION 22 ZAIDI ZA KITANZANIA,TAZAMA KONA ZOTE ZA NYUMBA YAKE HAPA

Imewekwa ma Unknown siku Thursday, 21 November 2013 | 22:34

LIL WAYNE
Rapper ni msanii amabye ni wazi wanaofatilia muziki wa hip hop kimataifa watakubali uwezo wa LIL WAYNE ni mkubwa kutkana ni kutoa hit kali kila kunapokucha.

Ni mzaliwa wa mwaka 1982,mwezi ni Septemba ikiwa tarehe ni 27 ambaye kuzaliwa kwake alipatiwa jina la DWAYNE MICHAEL CARTER na yeye kisana akajulikana kama LIL WAYNE ana kipindi cha nyuma kabisa alikuwa ni msanii amnaye amejituma mpaka kufika sasa jambo lililompatia tuzo kadhaa kutoka awards tofauti na ni msanii amaye akipatiwa collabo hana shida kikubwa anachokifanya ni kuonesha uwezo wake katika kila kazi anayofaya.


LIL WAYNE anamiliki jumba kama linayoonekana katika picha lenye thamani ya dola za kimarekani elfu 14 ambazo kwa hesabu tu haraka ni billion 22 na nusu fedha za kitanzania na iko na vvumba zaidi ya 6 pamoja na vyumba vya wageni,swimmig pool,gereji tatu na eneo la yeye kutulia na kupika kinada wakati wa mapumziko na jengo hilo linapatiaka na Miami karibu na ufukwe wa bahari





















WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa