Mwanzo » » PREZZO ANAMILIKI ''AK 47'' YA GOLD TUPU AIONESHA WAZI WAZI.

PREZZO ANAMILIKI ''AK 47'' YA GOLD TUPU AIONESHA WAZI WAZI.

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday 27 November 2013 | 22:13

PREZZO
Rapper anayeiwakilisha 254 wa kuitwa Prezzo ameamua kuonesha silaha ya ke anayoitumia pindi ikimbidi anapokuwa katika hali tete kimaisha hiyo ikiwa ni kujiimalishia ulinzi na chakushanza zaidi bunduki anayomiliki ni GOLD tupu kila kona...na amekuwa akijaribu kuwajibu wanaomponda kupitia mitandao kwa kujibu maneno yao kwa post na vitendo vya picha kupitia account yake ya instagram na miongoni mwa wanoendeleza bifu na yeye na ambao amekuwa akijibizana nao ni Huddah na mwandada mwingine wa kuitwa Ashley na baada ya kupost picha ya AK 47 akiambatanisha ujumbe huu Nobody lied........ iam a star & got a chopper in the car #TrulyUnruly #Rapcellency”.


GOLD AK 47 SEVEN ANAYOMILIKI RAPPER PREZZO
 Akizidi kuonesha jeuri ya pesa pia alipost picha ya mkono wake uliovalia saa kali ya madini ya GOLD pia ikiwa ni pamoja na pete pia yenye ujazo wa madini ya GOLD na kuandika ujumbe huu "I know u want the finer things in life & I can get em 4 u, all u have to do is decide how bad u want em' #Rolex KissThePinkyRing #Rapcellency #TrulyUnruly"
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa