Mwanzo » » SNURA AVURUGA JUKWAA KIGAMBONI TUKIO ZIMA LIKO HAPA

SNURA AVURUGA JUKWAA KIGAMBONI TUKIO ZIMA LIKO HAPA

Imewekwa ma Unknown siku Sunday, 17 November 2013 | 12:55









Mkali wa kike wa Jukwaa toka Bongo aliyavuka maji na kuingia Kigambonino kufanya kazi yake na tukio zima ni kama unavyoona katika picha ni wa Kuitwa Snura Mushi au ukipenda mama Majanga.



Baada ya kigamboni ni Dodoma hivyo wakazi wa Dodoma kaeni tayari kwa pia huko atakuja kuvuruga vibaya na mzigo mzima huko mjini Dom utafanyika jimapili ya wiki ijayo ya tarehe 24/11 pia kwa mara kwanza Snura atakuwa katika viwanja vya New Maisha Club ambapo atakuwa akizindua kichupa cha ngoma yake mpya 'NIMEVURUGWA' na kama kawaida mwadada Snura lazima aache majanga jukwaani kwasababu viuno vitahusika mwanzo mpaka mwisho wa show ya uzinduzi huo.



COMING SOON-VIDEO LAUNCHING AT NEW MAISHA CLUB NEXT SUNDAY OF THE WEEK

Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa