Mwanzo » » VICENT KIGOSI ''RAY'' AMCHIZISHA CHUCHU HANS KIMAPENZI-LOVE MANIAC,WALTER ATOSWA

VICENT KIGOSI ''RAY'' AMCHIZISHA CHUCHU HANS KIMAPENZI-LOVE MANIAC,WALTER ATOSWA

Imewekwa ma Unknown siku Thursday, 21 November 2013 | 13:48

VICENT KIGOSI ''RAY''

CHUCHU HANS
Msanii wa bongo Movie Vicent Kigosi yuko katika umaliziaji wa movie yake mpya itakayoingi sokoni hivi karibuni ambayo imeandaliwa muda mrefu kiasi ambacho ilimlazimu Vicent Kigosi ''RAY'' kubadili muonekano na kuwa mtu flan mwenye muonrkano wa kijana muhuni wa kujichora matatoo na kubaili rangi ya nywelw za kuziwekea blond jambo linaendana na uhalisia wa movie ya LOVE MANIAC ambapo story nzima katika movie ni kwamba Chuchu Hans amependwa na Kijana WALTER DE NGONDE mstaarabu ambaye anajipenda na mpole wa tabia lakini mambo yanmendea kombo baada ya Chuchu roho yake kuwa kwa mtu mwingine ambaye ni kijana check bob hapa mhusika ni Vicent Kigosi ''RAY'' kiasi cha upendo alichonacho WALTER kwa Chuchu kinamfanya watumie wazazi wake na Chuchu(mzee Msinde) wamsanidie kumpata Chuchu lakini mambo yanazidi kuwa mabaya kwa Chuchu kwani anakuwa chizi kimapenzi kwa kijana mwenye matattoo ''RAY'' na katika kunogosha picha hilo kali wapo wakali kibao wa Bongo Movie.
HUU NDIO MUONEKANO UTAKAO HUSIKA KATIKA MOVIE HIYO MPYA
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa