|
WASTARA |
Baada ya kuwa Watanzania na mashabiki wa Bongo movie kumpoteza msanii wa Bongo Movie ''SAJUKI'' na kumuacha mpweke msanii ambaye alikuwa mkewe WASTARA sasa mashabiki wa Bongo movie wamshauri aliyekuwa rafiki wa karibu na marehemu DEOGRATIUS SHIJA kuwa amuoe WASTARA mara baada ya kupost katika ukurasa wake wa facebook na kuwaambia mashabiki kuwa wasishangae kuona hajaoa ni kwamba mpaka sasa hajapata mwanamke mrembo jambo ambalo marafiki walimshauri baada ya mmoja ya rafiki kumshauri kuwa amuoe WASTARA kwani ni mwanamke ambaye kile mtu anajua kuwa ametulia hivyo asiangaike comment hiyo ilisupportiwa na watu kibao.
Post a Comment