Mwanzo » » WAFANYA BISHARA WA SOKO LA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM WAGOMA

WAFANYA BISHARA WA SOKO LA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM WAGOMA

Imewekwa ma Unknown siku Monday, 18 November 2013 | 10:14

Baadhi wafanya bishara wa soko la kariakoo jijini Dar es salaam wammegoma kupinga matumizi ya mashine za risiti za TRA utaratibu ambao ni mpango wa kudhibiti upandaji holela wa bei jambo linalo fanywa na wafanyabiashara wengi.

Mikoa kasdaa ikiwemo Mwanza na Dodoma wamesha sikika kugoma hivi karibuni na tatizo kubwa ni muda mfupu uliotolewa na TRA kuwa kila mfanya biashara awe na mashine hiyo ikiwa mashine hiyo inauzwa kwa gharama ya shiling laki 8 pesa mbayo wafanyabiashara wanadi ni nyingi mbali na TRA kutoa muda mfupi wa wafanyabiashara kuimiliki.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa