Picha ya Kaburi la Ngwaer kwa mbele. |
waliuzuria wengi kushirikia na familia katika hitima hiyo |
kuhitimisha ibada |
walikusanyika katika kabuli la mpendwa Albert Mangwear |
waliompenda ni wengi na idadi ilikuwa ni kubwa katika eneo la makabuli |
Kwa unyeyekevu na utuliva sala iliendelea eneo la kabuli la Albert Mangwear |
wasanii wakitoa heshima kwa sala |
Mama mzazi wake na Albert Mangwear akiweka shada la maua |
Mtangzaji BDoze akiwasha mashumaa |
Rapper Young D akiwasha mashumaa |
Dark Master akitoa heshima katika kabuli la aliyekuwa mwanachemba wenzake Albert Magwear |
Nyumbani kwa Albert Mangwear |
Nyumbani wakiomboleza huku nyimbo za Albert Magwear zikiendelea kuchezwa kama ishara ya kukumbuku |
Post a Comment