|
KITALE |
Msanii wa muziki wa kizazi kipya na muigizaji wa Bongo movie Kitale amesema hayo alipokuwa akihojiana na MR 255 na kusema kuwa katika movie uandaaji ni mkubwa na unaweza kulipwa malipo ya kazi husika kisha story ikaishia hapo kama kazi umuza lakini katika muziki iko tofauti kwa kuwa mtu unaweza kupata idea fupi tu isiyo na mambo mengi na kama msanii ukajipida na kukawekeza kwa studio kiasi kidogo ukilinganisha na mtaji wa kutengeneza movie na ukatengeneza ngoma kali sana na mwisho msanii ukaanza kungoja show na zinapokuja unakuta perfomance ni fupi lakini mapato ni makubwa.
Kitale ameyasema hayo kulingana na kuwa yeye ni msanii katika muziki pia ni muigizaji na hivyo yuko na uzoefu wa mapato katika tasnia.
Post a Comment