Mwanzo »
» MBALI NA UDOGO ALIONAO LAKINI HAPA YOUNG KILLER ALIKUWA MDOGO ZAIDI.
|
YOUNG KILLER WASASA |
|
YOUNG KILLER ENZI ZA UTOTO ZAIDI
Rapper young Killer jana alipost picha hii ambayo inamuonyesha akiwa katika umri wa watoto kununuliwa soda na kisha ikapigwa picha kama kumbukumbu.
Haikujulikana kuwa ilikuwa ni picha ya mwaka gani lakini kwa hesabu ya haraka haraka ni miaka ya madarasa ya primary huko mwanza kwasababu katika historia fupi ya Young Killer hajawahi kuitembelea mikosa mingi hivyo imehisiwa kuwa ni jijini Mwanza.
Hakika ni picha ya kufurahisha sana kwa yeyote anayemjua Young Killer kwani kwasasa amekua kiasi kikubwa na nadhani sijui kama kipindi hicho cha picha hii alikuwa akijua kama kufikia umri alionao atakuwa na umaarufu kiasi alichonacho kwasasa.Watu tuantoka mbali sana na ndo maana tuna kila sababu ya kumshukuru mwenyezi mungu kwa kila hatua ya maisha.
|
Post a Comment