WASTARA JUMA |
Kilichozua maneno zaidi li maneno yaliyoambatanishwa katika picha hiyo akidai kuwa amemiss kumbatio la huba,akinukuliwa ''Nimemiss kumbatio la huba'' mwisho wa kunukuu, hayo ndio maneno yaliyokuwa katika picha ya yeye kuwa ndani ya kumbatio la mwanaume ambaye haikubainika kama ni mume mtarajiwa au ni katika utaratibu wa movie maana hawa wasanii wa Bongo movie wamekuwa wakitambilisha movie zao kwa style ya aina yake humu mitandaoni jamabo ambalo mwisho wa story unaweza kuambiwa kuwa ni movie mpya.
Kma ni movie basi itakuwa kali kwasababu ni muigizaji mahari sana katika sana hii na kama huyu aliyemkubatia ndiye mume mtarajiwa basi amepata mke mwema kwa maana huyu mwanadada katika ndoa hana makuu na ni mtulivi na mwenye mapenzi ya dhati kwa kiasi kikubwa sana.
Kuhusu kuwa ni movie au ndiye mume mtarajiwa hatujajua lakini kama kutatokea lolote atakalosema mwandada huyu kuhusu picha hiyo basi hatutasita kujuza kupitia hapa hapi so kwako kikubwa tu endelea kuwa nasi kwa habari moto moto na matumio ya burudani.
SHARE NA MARAFIKI SASA HII POST HUWE MIONGONI MWA WAJANJA.
Post a Comment