LINEX LINENGA |
LINEX NA AGNES MASOGANGE |
AGNES MASOGANGE |
Kulingana na ambacho Linex amekutana nacho kipindi hicho cha usambazwaji wa habari amabazo yeye kama yeye alidai kuwa ni habari za uzushi tu na kusisitiza kuwa yeye na Agnes Masogange kuwa ni marafiki tu na hizo picha zilizokuwa zikisambazwa kwa habari ni kwamba ni kipindi ambacho walikuwa katika kuparty viwanja tofauti tu kama marafiki tu.
Leo Linex kupitia ukurasa wake wa Facebook alisititiza kuwa yeye na Agnes Masogange ni marafiki na kudai kuwa anatamani ndugu jamaa na marafiki waujue ukweli kwa kuwa uvumi wa yeye kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Agnes Masogange umemuweka katika wakati mgumu kwa kueleweka vibaya kwa watu wake wa karibu na pamoja na kuwekwa wazi kuwa ni marafiki tu na bado tu ilikuwa ni ngumu kwake kuelelweka hivyo...
HIKI AMEKIANDIKA LINEX KUHUSU KUTOKUWA NA MAHUSIANO NA AGNES MASOGANGE KUPTIA MTANDAO...
Mpaka sasa Agnes Masogange hajazungumza chochote kuhusu hili.
Post a Comment