Mwanzo » » AUNT EZEKEIL AANGUKA KWA PRESHA LOCCATION NA KUKIMBIZWA HOSPITALI.

AUNT EZEKEIL AANGUKA KWA PRESHA LOCCATION NA KUKIMBIZWA HOSPITALI.

Imewekwa ma Unknown siku Saturday, 22 February 2014 | 18:25

AUNT EZEKIEL
Msanii wa Bongo movie hivi karibuni akiwa katika shughuli zake za sanaa jijini Tanga na nguli wa movie za ucheshi(comedy) King Mjuto alipatwa na presha kumshuka hali iliyompalekea kuanguka chini na team aliyokuwa nayo eneo la tukio walipokuwa wakishoot walimbeba na kumkimbiza hospitalini Gesha inayopatina jijini Tanga kwa matibabu.

AUNT EZEKIEL AKIUGULIA HOSPITAL


Akizungumza na watu wakaribu waliopigia simu kumjulia hali Aunt Ezekel alikubali kuwa huwa na tatizo la presha kushuka na ndio hali iliyomkuta mpaka kupelekea kulazwa kwake na kwasasa anaendelea vizuri.

 “Kweli  nilikuwa shutting na Mzee Majuto, ghafla nilianguka na kukimbizwa hospitali, wameniwekea dripu mkononi ila namshukuru Mungu, naendelea vizuri,” alisema Aunt
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa