Baada ya hayo na mengi yaliyompatia umaarufu Mc Babu Ayubu aliamua kuingia katika muziki aina ya Taarabu na kukaa kimya kwa muda mrefu bila kusikika na sasa amekuja na ngoma ngoma aliyofanya chini ya mtayarishaji Mr. T-Touch na ngoma inakwenda kwa jina SHIKAMOO PESA akiwa anamaanisha siku hizi pesa inanekana kusujudiwa na kuweka heshima ya kawaida pembeni na wasanii walioigizwa sauti ni Ney wa Mitego,Mr. Sugu,Mh. Temba,King Crazy Gk,Marehemu Bi. Kidude,Ispector Haroun,.
Akijitetea kuwa wasanii watakao maind yeye hana wasi wasi kabisa na kama ni kuigiza ni moja ya sanaa na kwa mujibu wa maelezo yake alimaanisha kuwa kama kuigiza sauti ni kitu rahisi basi na wao waigize.
DOWNLOAD HAPA CHINI...
Post a Comment