Mwanzo » » ALLY KIBA,MWANA F.A NA A.Y NDANI YA NGOMA MOJA.

ALLY KIBA,MWANA F.A NA A.Y NDANI YA NGOMA MOJA.

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday, 26 February 2014 | 00:18


Akidai kuwa alilala amechelewa na ndio moja ya sababu zilizomfanya kuamka machelewa Mwana FA alipost Picha iliyokuwa ikimuonesha yeye,A Y na Ally Kiba wakiwa studio za MJ REC kwa pamoja aliweka maelezo kuwa 'kazini last night...ndo maana nimechelewa kuamka leo...kuna tatizo?#kipingthegudmusicalive ilimaanisha kuwa ulikuwa ni usiku ulimchukua muda kukamilisha kazi wakiwa watatu jamba ambalo lilimaanisha kuwa ukimya wa Ally Kiba soon utatoweka.



Lakini pia A Y na Ally Kiba nao walipost picha za pamoja ambapo Ally alipost picha kisa kuandika @ +aytanzania . &007 #mj record #wait for it bongela wimbo ilimaanisha wazi kuwa ni collabo la pamoja na hii inatazamiwa kuwa kali sana kwakuwa wote ni wasanii wenye uwezo na ukizingatia pia Marco Chali wa MJ Rec ni mzuri katika utayarishaji so stay tune kupata mkwaju wa watatu hawa.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa