'Unayoyafanya unafikiria kuitwa baba kesho? maana ni upuuzimtupu'' alisema akimlenga Colonel Mustafa.
''umri wako hauambatani na vituko unavyo vifanya kwa hiyo rudi nyuma ubadilishe.shame on you. We hufai kuitwa kioo. Umeshindwa kuandika nyimbo kwa hiyo unaona bora utafute visanga? vinakupa sifa but unapata nini zaidi ya sifa hizo?hela kitandani''
''Huyu Mustafa hafai kuitwa kioo chajamii kabisa, umri wake na vituko vyake tafauti kabisa.uzee unaingia bado anafanya mambo ya kitoto. Shame'' Aliongeza
Lakini anachokisema Nyota ndogo ni kweli kutoka moyoni ila tu alionesh hisia tofauti upande wa pili kuhusu taarifa za Mustafa na Huddah kuja na wimbo wa pamoja na aliandika haya kupitia account yake ya twitter
''Can't wait for my song with @Mustafa_254 to land these streets it was a first for me. But in life everything is possible'' alitweet Nyota Ndogo.
Inaaminika yale yanayofanywa na Mustafa pamoja na Huddah ni kumuumiza Prezzo kwa kuwa awali Huddah alikuwa katika mahusiano ya kimapenzi na baada wakaachana na mwisho wakaachana na baadae ikawa ni kimya kimya then wakaamua kuweka wazi mahusiano yao lakini sasa wamezidisha kiasi ambacho Msanii Nyota ndogo kuamua kuongea yake ya moyoni.
Post a Comment