Mwanzo » » COLLABO LA RABBIT KAKA SUNGURA NA HHP PAMOJA NA WANGECHI VIDEO YAACHIWA.

COLLABO LA RABBIT KAKA SUNGURA NA HHP PAMOJA NA WANGECHI VIDEO YAACHIWA.

Imewekwa ma Unknown siku Saturday, 22 February 2014 | 21:48

RABBIT KAKA SUNGURA
Rapper asiye na sikendo anayefanya vizuri Afika ya Mashariki lakini zazidi zaidi nchini Kenya ambako ndiko nyumbani na ndiko zaidi anakofanyia muziki wake alifanikisha kufanya mazungumzo na Rapper mkali toka Afrika ya Kusini Jabulani Tsambo maarufu kama Hip Hop Pantsula (HHP) ambaye anafanya michano sana sana katika Lugha ya Setswana na mwanadada toka pale pale anakofanya kazi zake Rabbit Kaka Sungura muite Wangechi na ngoma ikakamilika iliyokwenda kwa jina 'TULIA TU'' na sasa kichupa kimekamilika na kuachiwa Rasmi.


Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa