KITANO MUSTAFA |
Kwamujibu wa msemaji wa Hospitali ya Muhimbili Aminieli Aligaesha amesema kuwa tukio la kufanana na hilo na tukio la Tatu kutokea mbali na kutokea katika Hospitali nyingine kubwa za serikali na baadhi ya watu wanaodelewa kutumia ngao ya Utabibu kutapeli watu jambo ambalo ni hatari sana kwakuwa mtu kama huyo anapotoa huduma kwa mtu bila kuwa naujuzi uliokubalika anaweza kumuhatarishi maisha mgonjwa.
Baada ya uchunguzi mtuhumiwa amekutwa na kadi tatu za kliniki na number za mawasiliano za madaktari na wauguzi katika hospitali hiyo ambapo imeonekana kuwa ni wazi alitambua kuwa kufanya hivyo ni kinyume na sheria na baada ya tukio la kukamatwa kwake ndugu Mustafa alikana kuhusika na utapeli huo kwa wagonjwa na kuwekwa msimamo wa kuwa hawezi kuongea chochote mpaka mwanasheria wake atakapo kuwepo.
Post a Comment