Mwanzo » » DIAMOND KWA MARA YA KWANZA AZUNGUMZIA CLOTHING LINE YAKE,TAZAMAM VIDEO

DIAMOND KWA MARA YA KWANZA AZUNGUMZIA CLOTHING LINE YAKE,TAZAMAM VIDEO

Imewekwa ma Unknown siku Tuesday, 18 February 2014 | 10:06

Nimoja ya njia za ujasiriamali kwa wasanii na hii WASAFI CLASSIC BABY ni Brandy Name aliyoitengeneza yeye mwenyewe kama Diamond Platnumz akishirrikiana na team yake na watu wake wa karibu mpaka kufika ilipo sasa ambapo ilipofikia ni hatua nzuri sana kutokana na itihada alizoziweka.


Diamond Platnumz katika kuitengenezea jina la WASAFI CLASSIC BABY mpaka sasa ameona ni wakati muafaka wa kuliongelea na kuweka wazi kuwa kwasasa rasmi alelitangaza kama jina la biashara aambapo atakuwa akiuza nguo za kiume na viatu vya kiume hawa watoto wa kike watakaopenda kuvaa mavazi ya Wasafi itawalazimu wavae nguo zile zile ambazo zimetengenezwa katika mfumo wa nguo za kume.


Akitoa sababu za yeye kutoa CLOTHING LINE hii sasa na sio ipindi kile cha nyuma ambapo mbali na kutoa mavazi hayo sasa bado jina hilo limekuwa kubwa kupitia wadau wanao mkubali kuanzisha kurasa mitandaoni na kuzipa majina hayo ya WASAFI CLASSIC na majina mengine mazuri yaliyokuwa yakimaanisha kuiwakilisha wasafi kwa ujumla,Akizungumza alimesema kuwa yeye amekuwa ni mtu wa kufanya mambo yenye uhakika na hakutaka kukurupuka bali alikaa kimya kipindi chote ili kupata msingi mzuri wa mavazi hayo na pindi akitaka kuweka wazi bidhaa hizo iwe na mwanoz mzuri na muendlezo mzuri pia na kwasasa anaamini bidhaa ikiwekwa sokoni itakuwa ni miongoni mwa Bidhaa zitakazo fanya vizuri katika mwaka huu wa 2014.

TAZAMA VIDEO AKIZUNGUMZIA CLOTHNG LINE YAKE...


Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa