Young Killer |
Akiwa jijina Mwanza katikati mwa week hii Young Killah alisafiri kuelekea jiji la Mwanza ambapo katika pita pita zake alikutana na tukio la kuvuliwa nguo iliyokuwa na nakshi ya rangi za Jeshi la Ulinzi la Tanzania baada ya kupitia katika mojawapo ya Kambi za Jeshi la polisi linalopatikana katika Jiji la Mwanza.
Baada ya tukio hilo la kuvuliwa nguo kwa Young Killah Msodoki basi hiki ndicho alichopost kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ukiwepo ule wa Facebook na ule mtandao wa picha Instagram na hiki ndicho alichokipost...
Post a Comment