Mwanzo » » HII NI SIKU YA D-KNOB FT MWASITI VIDEO KUACHIWA

HII NI SIKU YA D-KNOB FT MWASITI VIDEO KUACHIWA

Imewekwa ma Unknown siku Tuesday, 11 February 2014 | 17:35


Rapper baada ya kimya cha mda mrefu sasa ameamua kurudi na audio inayokwenda kwa jina ''NISHIKE MKONO'' ikiwa ni ujio wake mpya unlimtambulisha kwa mara nyingine vizuri katika game na mara hii amemchagua mwandada anayeiwakilisha sanaa vizuri kutoka Kigoma na humu amefanya makubwa katika chorus na wakaikamilisha audi ya wimbo huo sasa basi kwa mujibu wa D-Knob mwenyewe amesema kuwa siku ya yeye kuachia Video ya wimbo huo ni siku ya wapendandanao siku ya tarehe 14 mwezi huu wa pili hivyo wadai subiria ujuio huu wa D-Knob katika Video siku y wapendanao.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa