Mwanzo » » KALA AKANA KUONGELEA SUALA LA BIFU YA DIAMOND NA ALLY KIBA.

KALA AKANA KUONGELEA SUALA LA BIFU YA DIAMOND NA ALLY KIBA.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday, 27 February 2014 | 21:23

Kala Jeremiah
Huku baadhi ya Bloggers na waendesha Website Bongo kuamini kuwa Kala Jeremiah alichangia kuhusu kutupiana kwa maneno kwa Diamond Platnumz na Ally Kiba basi ukweli ni kwamba lile sakata la account za watu maarufu kuhackiwa ndilo lililotokea mpaka kuonekana kuwa Kala kupitia ukurasa wake alisema jambo kuhusu bifu za wasanii wawili yaani Ally Kiba na Diamond kwakuwa ukurasa wa account ya Kala  ulitumiwa na wale walikuwa wamehack ukurasa wake ambao kwa mujibu wa Kala Mwenyewe ni kuwa tangu kuonekana kwa account yake kutoa taarifa za uongo kuhusu mikopo kupitia account yake na kugundua kuwa imehackiwa hakuwahi kuitumia kabisa.


Ni kuwa hii ni hali ambayo ingeweza kumuweka Kala katika sura ya kuonekana kuwa alizungumza jambo kuhusu choko choko ya wasanii wa Bongo fleva yaani Diamond na Ally kiba kumbe Kala hajazungumza lolote na inawezekana kwa mujibu wa Account ya ya kala ya zamani kupost kitu basi inawezekana kuwa Walimuelewa tofauti na zaidi waliopost taarifa ya ngongano wa maneno waliambatanisha habari ya watu kujiunga na mikopo kitu ambacho ni utapeli..

Hiki ndicho wale watu waliopost katika account ya kurasa wa Kala wa zamani na kikachukuliwa kama kilichosemwa na Kala...


Huu ndio ukurasa wa Kala Jeremiah anautumia

Kilike ukurasa huo Bofya HAPA

Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa