Ray C |
Mpaka sasa yuko na nyimbo zaidi ya kumi na ambapo kazi ya kuandaa nyimbo hizo Rasmi zilianza mwezi wa kumi na moja mwaka jana na Ray C Faundation ni project ambayo hivi karibuni itakuwa ni kwa ajili ya kusaidia waathirika wa matumizi wa madawa ya kulevya na mpango huo utakuwa chini yake yeye mwenyewe.
Akizungumza ka uchungu alisema kuwa kwa jinsi anavyowachukia wauza madawa ya kulevya anatamani hata wapewe adhabu ya kuuwawa kwa kuwa wao wanaingiza kiasi cha pesa kutoka kwa watu ambao wanaathiriwa na madawa bila kujai madhara ya wanochokifanya.
Post a Comment