Mwanzo » » NEW SONG(AUDIO) EZDEN Ft. R DADDY-MADINI YANAOZEA STORE.

NEW SONG(AUDIO) EZDEN Ft. R DADDY-MADINI YANAOZEA STORE.

Imewekwa ma Unknown siku Friday, 14 February 2014 | 11:11

EZDEN THE ROCKER

Ni kijana muangaikaji na ni rapper mzuri kwakuwa ameshaonesha umahiri wake katika kazi kadhaa akiwa ameshafanya na mwasanii wenye majina makubwa hapa nchini kama Ney wa Mitego,Kag-Go,One The Incredible,Young Killer,Azma,Stereo,Dunga,Mbishi Real,Linex katika ngoma ya ''CHOCHOTE POPOTE''na nyingine nyingi,sasa basi baada ya kimya cha mda mrefu Ezden ametendea haki wadau wanaoshabikia muziki wake na kupika mkono mwingine unaokwenda kwa jina ''MADINI YANAOZEA STORE'' ukiwa ni mkono uliotayarishwa chini ya mtayarishaji RED AGAIN na kumshirikisha mkali mwingine R DADDY na mwisho kazi ikamailika na kuiachia rasmi katika mitandao usiku wa kuamkia leo.


Hii hapa>>>>PAKUA BURE HAPA NA SAMBAZA
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa