Mwanzo » » OSTAZ JUMA NA MSOMA AMUOMBA MSAMAHA KITALE KWA KITENDO CHA KUMSHUSHIA HESHIMA PNC.

OSTAZ JUMA NA MSOMA AMUOMBA MSAMAHA KITALE KWA KITENDO CHA KUMSHUSHIA HESHIMA PNC.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday, 27 February 2014 | 14:30

Baada ya tukio la Ostaz Juma kupost picha na video ikimuonesha PNC  akimuomba Ostaz msamaha sasa hali ikawa tofauti mpaka Ostaz aliomba msamaha kwakuwa Kitale alimaarufu kama Rais wa Mteja  baada ya Kitale kununua ugomvi huo.


Kitale alipoona picha ya PNC mtandaoni zilizokuwa zikimzalilisha PNC basi aliamua kupandia Ostaz hewani kwa simu yake ya mkononi na Ostaz akaja juu na kumtishia kumkata mapanga Kitale kwa kutumia kigezo cha kuwa yeye anatokea mkoa wa watu wenye vurugu Msoma kumbe hakujua kuwa Kitale ni kijana hasiyeogopa na ndo akamwambia kuwa hawezi kumfanya chochote na akawakusanya washikaji zake na kumtimbia Ostaz kwa kumuonesha heshima kuwa inahitajika kwa kila mmoja jamba ambalo lilimfanya Ostaz ajifiche na utafutwa kila kona bila kuonekana na kwa mujibu wa kitale ni kuwa wakati akimtafuta Ostaz alipigiwa simu na mtu ana kuelezwa kuwa Ostaz yuko Tip Top na alipokuwa bado akimtafuta Ostaz aliona no bora ampigie simu Kitale na kumuomba msamaha na kumuomba kuwa hilo lililokuwa likiendele lipotezewe na kwa atakayetaka kujua kuhusuana nalo Kitale aseme ni move lakini Kitale akikataa na mchezo ukaishia hapo ila tu baada ya Oataz kuomba msamaha.

Kikweli hili halikuwa jambo jema kabisa na

HAYA NI MALAMIKO NA MAONI BAADHI YA WATU WALIOZUNGUMZA KUPITIA MITANDAO.








Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa