Cover ya Wimbo mpya ujao. |
Kwa mara hii AM Rec inamleta kwenu msanii mwenye uwezo kama msanii katika muziki mwenye uwezo wa kuchana pia kuimba na mbali na hayo pia ni muandishi mzuri kwa nyimbo hapa Bongo,Baada ya kimya kirefu chake katika muziki wa Bongo kwa kupiga kimya bila ngoma yake kama yeye huku akiwa anaishia katika kufanya collabo za wasanii wanaolewa sna auwezo wake na sasa anakutanishwa na mbali mwenzake hapa anayezungumziwa ni mkali wa RnB Bongo ni wakuitwa Benard Paul a.k.a Ben Pol katika ngoma moja ya mapenzi itakayokwenda kwa jina''PENZI'' ''stay tune kupokea mkono huu mkali tokwa kwa Quick Rocker.
Post a Comment