Kala Jeremiah |
Kuwa makini nao usijeingia katika hsimo la ktapeliwa nao..
Sura ya mtandao huo ni hii hapa....(UPANDE WA MAWASILIANO )
Na wakidai kuwa mikopo iko chini ya Serkali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania..
Na saa moja liliopita siku ya leo (27/02/2014) wamepost kupitia kurasa wa Kala ambao hautumii kwakuwa umeibiwa na watu hawa.
Na hiki ndicho ulichokipost
Post a Comment