Ikiwa ni kimya cha mda mrefu bila kupakua muziki mzuri toka Tetemesha kumbe Kampuni hiyo ilikuwa katika mapishi ya kupika kazi nzuri kama ilivyo kawaida na baada ya mambo kukaa sawa sasa inamleta kwenu msanii ambaye wapo baadhi ya wadau wamesha bahatika kumsikia kwakuwa amesha record na studio kubwa kama Sharobaro Rec,Rock Town,Young Don na nyinginezo.
|
Moja ya kazi zilizoko njia toka Tetemesha Entertainment |
Msanii anayekuja chini ya usimamizi wa Tetemesha Entertainment ni
Barakah Da Prince ambaye kwasasa amekamilisha baadhi ya kazi na soon kazi hizo zitakuwa katika mitandao na vyombo vya habari na kwa mujibu wa C.E.O wa Kampuni hiyo KidBoy ni kuwa huyu
Barakah Da Prince ni zao jipya la Tetemesha Entertainment.
Post a Comment