Mwanzo » » ALI KIBA: ALIYEACHIA WIMBO WA ''ROSA'' KWA JINA LANGU SIMJUI ,SINA WIMBO WOWOTE MPYA NA SINA WIMBO UNAOHITWA HIVYO.

ALI KIBA: ALIYEACHIA WIMBO WA ''ROSA'' KWA JINA LANGU SIMJUI ,SINA WIMBO WOWOTE MPYA NA SINA WIMBO UNAOHITWA HIVYO.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday 27 March 2014 | 21:38


Siku kadhaa baada ya kusambaa wimbo ulioaminika kuwa ni wa Ali Kiba ukiwa na jina la Rosa, mwimbaji huyo ameukana wimbo huo na kudai hafahamu lolote kuhusu wimbo huo na hata hajawahi kuusikia.
“Nyimbo zipo lakini sija release nyimbo, sijatoa nyimbo so far na sijui nani ameimba na sijawahi hata kuusikia.” Amesema Ali Kiba.
Mwimbaji huyo ameongeza kuwa watu wameona yuko kimya na wameamua kutoa wimbo kwa jina lake kitu ambacho hakina mantiki na kwamba anadhani watu hao wamefanya makusudi au wametumia sayansi ya sauti ku-fake sauti yake.
Amesema hajui lengo la mtu aliyefanya, “I think ni trick moja ambayo imefanywa sielewi na nani lakini I don’t know if in a good way or bad way”.
Ameiweka positively pia kuwa huenda aliyeiimba ni mtu anaemkubali yeye kama role model wake.
Credit: Renatus Kiluvya


Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa