Mwanzo » » BAADA YA TUHUMA NYINGI ZA MADAWA YA KULEVYA KWA AGNES MASOGANGE ARUDI TENA SOUTH AFRIKA.

BAADA YA TUHUMA NYINGI ZA MADAWA YA KULEVYA KWA AGNES MASOGANGE ARUDI TENA SOUTH AFRIKA.

Imewekwa ma Click BongoTz siku Wednesday 26 March 2014 | 22:33

Hizi ni picha kadhaa zilizopatikana zinazomuonesha Video queen ambaye amejikuta katika tuhuma kadhaa za kujihusisha na madawa ya kulevya na mwisho wake kuachiwa kwa madai ya kutioonekana kuwa na hatia na moja ya nchi ambayo amekutwa na maswahibu mara kadhaa ya kesi za madawa ni Afrika ya Kusini na kwa taarifa zilizopo kwa sasa ni kuwa Agnes amerudi Afrka ya kusini ingawa haijaeleweka ki mishe gani zimempeleka.















Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa