Mwanzo »
» BELLE-9 ATUPWA NDANI BAADA YA KUJIHUSISHA NA UTAPELI.
|
BELLE-9 |
Kwa habari zilizoko mtaani Inasemekana Eti Mwanzoni mwa mwezi huu mkali wa RnB Belle 9 nusura ainuse jela baada ya kuchukua pesa za mapromota wawili wa Mafinga Iringa ambapo walikua wanashow katika weekend moja na Belle 9 akaamua kutumbuiza show moja na kumtosa promota mmoja kwa madai kuwa anatakiwa kuendelea kui promote show hiyo, sasa promota aliyetoswa hakujua kama Belle 9 atakuja kuperform katika mji wake lakini alipokuja kushtukia ndio akaamua kwenda katika ukumbi huo Belle 9 alipomaliza kutumbuiza wakamkamata na kumpeleka kituo cha polisi ndo ikaamuliwa kuwa kesho yake Belle 9 apige show ili kuepuka utata huo,
skiza You Heard Ilivyokua kwenye XXL ya Clouds fm -
Post a Comment