Mwanzo » » BIIG HOMIE IKO NJIANI NA INAKUJA NA JINA LILE LILE LA ZAMANI LA PUFF DADDY.

BIIG HOMIE IKO NJIANI NA INAKUJA NA JINA LILE LILE LA ZAMANI LA PUFF DADDY.

Imewekwa ma Unknown siku Sunday 30 March 2014 | 15:16


Rapper Sean Combs  anayemiliki music production company ya Bad Boy Entertainment, inakumbukwa alikuwa amebadili jina na kujiita P. Diddy na kuachana na Puff Dady na hii ni mara ya nne kwa yeye kubadili na lakini sasa amelirudia na hii ni katika ujuo mpya wa ngoma yake ''Big Homie'' na wakali wenzake,ndani humo yumo Rick Ross,French Momtanna chini ya label ya bad boy entertainment na juma lijalo ndo pini hili kali linaloonekana kuwa litaweza kumrudisha vizuri Puff Dady.


Hizo zote hatua kwa Puff Daddy ni harakati za kuachia mwishoni mwa mwaka huu Album yake itakayokwenda kwa jina MMM na single itakayopatikana katika Album hiyo inayokwenda kwa jina Big Homie itatoka hivi karibuni.



Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa