Mwanzo » » PETER MSECHU: MKIENDELEA KUIMBA KAZI ZETU ZA MUZIKI TUTAFIKA HUKU.

PETER MSECHU: MKIENDELEA KUIMBA KAZI ZETU ZA MUZIKI TUTAFIKA HUKU.

Imewekwa ma Unknown siku Sunday 30 March 2014 | 17:43

Peter Msechu kazini.



Maneno ya Msechu yasemwa katika picha hii


"Mkiendelea kuiba kazi zetu za muziki tunaweza kufika huku''

Hiki ndicho kilichoema na msanii wa muziki wa bongo fleva Peter Msechu.

Wakati Msechu anasema hivyo upande mwingine wa shilingi wa wasanii wa bongo tunaona wamehamua kutegemea shows tu na suo kuuza album na kila siku wasanii wanaoachia nyimbo zao wanaweza uwezekano wa mdau au shabiki kuweza kupata kazi zake bure jambo linalo maanisha kuwa kwasasa hawahitaji kutengeneza pesa kupitia kuuza Album.


Lakini pia kwa upande mwingine tunaona Wasanii wa muziki wa hip hop hawa wale wanaoiwakilisha Tmaduni muziki wanamake mkwanja zaidi pia katika kuuza album na wanatumia zaidi mitandao na vituo vya matangazo kama radio na tv kiasi na kiukweli wanipata pesa lakini sio kivile lakini imeonekana kuwa njia ya wao kuiiingizia kipato mbali na kila siku ya juma mosi kukutana katika kilinge kwa ajili ya michano na pia njia hiyo inawaingizia kipato bila kusahau uuzaji wa t-shirt kwa wale baadhi aliokwisha anza biashara ya nanmna hiyo.

Kile anachokisema Msechu kwa ulimwengu wa teknologia kwasasa wizi wa kazi za wasanii hauwezi kukomeshwa.

Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa