Mwanzo » » BONGO MOVIES FANS STAY TUNE FOR BONGO MOVIE RED CARPET.

BONGO MOVIES FANS STAY TUNE FOR BONGO MOVIE RED CARPET.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday 27 March 2014 | 18:47


"Bongo Movie Red Carpet" ni kipindi chako chenye ladha mpya na ubunifu wa kutosha, muonekano mpya kabisa, sura mpya na uzito wake umeongezeka zaidi kutokana na utofauti wake ili kuhakikisha kwamba wewe mdau na mfuatiliaji wa tasnia ya filamu nchini unaridhika kwa kupata habari moto moto za wasanii na maisha yao, mafanikio yao na mikakati yao katika kuikuza na kuitangaza tasnia yetu hii ya filamu...

Kipindi hiki kitaruka 'very soon' katika kituo maarufu nchini cha STAR-TV ambayo ni stesheni inayoonekana sehemu kubwa ndani na nje ya Tanzania.
USIKOSE KUTAZAMA BONGO 'MOVIES RED CARPET'!
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa