Mwanzo » » DAVIDO NEW YORK ASABABISHA VURUGU MPAKA KUPOTEZA FAHAMU NA KULAZIMIKA SHOW KUFUNGWA KABLA YA MUDA.

DAVIDO NEW YORK ASABABISHA VURUGU MPAKA KUPOTEZA FAHAMU NA KULAZIMIKA SHOW KUFUNGWA KABLA YA MUDA.

Imewekwa ma Unknown siku Saturday 29 March 2014 | 21:13


Davido afunika mbovu kwenye ukumbi wa Pulse 48 Brooklyn, NY. Ukumbi huu unauwezo wa kuingiza watu zaidi ya Elf 1 lakini ulijaa na kusababisha vurugu na watu kupoteza fahamu kutokana na kukosa hewa. Kiingilio cha show hii kilikuwa ni kuanzia Dollar 40, ukinunua kabla ya show na mlangoni ilikuwa Dollar 60, VIP kwa watu wanne ilikuwa Dollar 650.





 

Davido alizikonga nyoyo za mashabiki wake kabla ya show kufunjwa na polisi wa usalama na wa zimamoto.


Moja ya ugomvi  mkubwa uliotokea kabla ya Davido kupanda jukwaani.



Watu walijaa kupita hadi kukosekani amani ndani ya ukumbi huu licha ya winter watu walisweat kama punda.

Huu ndiyo umati uliojitokeza katika show hiyo ya Davido ukodak wa Vijimambo kama kawaida ulikuwa live ndani  ukumbi huo.


Nilivutiwa na bango hili  kwenye stage linalomwonesha Diamond kuwa ni mmoja kati ya wanaowania tunzo ya AFRIMMA. Sherehe za kukabizi tunzo hizo zitafanyaka july 26 katika ukumbi wa Eisemann Center  Richardson, Dallas, TX


Ugomvi ndani ya ukumbi Vijimambo kama kawaida on point.....!!


Mtu kapoteza fahamu baada ya kuzidiwa na hali ya hewa.






Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa