Mwanzo » » HIKI NDICHO KILICHOMPONZA LULU MICHAEL KATIKA MTANDAO WA PICHA INSTAGRAM.

HIKI NDICHO KILICHOMPONZA LULU MICHAEL KATIKA MTANDAO WA PICHA INSTAGRAM.

Imewekwa ma Unknown siku Saturday 29 March 2014 | 21:01


Masaa machache tu baada ya lulu kupost mwonekano wa mbele wa jarida la VIBE utavyoonekana,  Watu wengi wameanza kumshambulia kwa kuiga pozi la Rihana alilotumia katika Jarida GQ mwaka jana. WEngi wamelalamika na kusema kua amejishusha sana na uchafua sifa ya gazei hilo kwa kucopy na kupaste.



Baada ya taarifa hizo kumfikia lulu alikua na haya ya kusema. "Doh naona imekuwa TOPIC ila sishangai Nina hiyo damu ya kufanya kitu na kikawa gumzoooo...!nadhani kitu kimoja watu hamuelewi Ku Copy na Ku Paste huko mnakosema nyinyi cdhani Kama mnakuelewa...!hapa kilichofanana ni idea only not otherwise...!n ofcoz dunia tunayoishi hakuna kitu kipya ni vitu vile vile ila vinafanyika kwa namna ya tofauti....majadiliano hayakuwa mabaya coz ndo inamaanisha habari imefika vilivyo....nimejaribu kuiweka clear mana watu mpk vidole vinakaribia kupata sugu kwa kuandika comment hehehe...!tuachane na hayo ila dada @badgalriri dah nimekukimbiza kwa mbali heheheh.... @badgalriri @badgalriri @badgalriri @badgalriri @badgalriri @badgalriri ��������nione basi������....haya namalizia Kama bdo hutaki kukubaliana na maelezo yangu njia hii 
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa