Mwanzo » » DIAMOND PLATNUMZ AFUGUA YA MOYONI KUHUSU NYIMBO ZA BONGO ZINAZOFUNGIWA NA BASATA.

DIAMOND PLATNUMZ AFUGUA YA MOYONI KUHUSU NYIMBO ZA BONGO ZINAZOFUNGIWA NA BASATA.

Imewekwa ma Click BongoTz siku Tuesday 25 March 2014 | 19:56


Diamond Platnumz ndiye msanii aliyetajwa sana kuwania tuzo za KTM2014 katika vipengere kama 6 lakini ameamua kufunguka mtazamo wake juu ya BASATA kuhusu kufungiwa kwa baadhi ya nyimbo za wasanii , kupitia katika akaunti yake ya instagram Diamond amefunguka na kuandika maneno mengi ya Busara zaidi kuhusu BASATA.

Tazama hii picha uone alichofunguka

 NANUKUU "ikiwa kweli tunalengo la kutoipotosha kimaadili jamii yetu na vizazi vyetu pendwa, nafikiri ni vyema tungeanza kuzuia Video na nyimbo za kutoka nje, kuliko kuzuia nyimbo na video za nyumbani ambazo uchafu wake Haufikii hata robo ya uliopo kwenye Nyimbo zinazopewa kipaumbele toka nje... Hii ni sawa na kuzidi kuukuza mziki wa nje huku tukiudidimiza na kuua mziki wetu... Will the target of reaching our goals ever be achieved?? #Ni_Mtazamo_tu"  MWISHO WA KUNUKUU
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa