Mwanzo » » H-BABA ACHUKUA KANGA NA KUMBEBA MTOTO WAKE MGONGONI FROLA MVUNGI ALA RAHA,TAZAMA PICHA HAPA.

H-BABA ACHUKUA KANGA NA KUMBEBA MTOTO WAKE MGONGONI FROLA MVUNGI ALA RAHA,TAZAMA PICHA HAPA.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday 27 March 2014 | 19:39


Imekuwa ikizoeleka kuwa mwenye jukumu la kubeba mtoto mgogoni sio mwanaume lakini hilo liko tofauti kwa msanii H-Baba na katika kusho love kwa mtoto wake na familia yake ametokea akiwa kabeba mtoto mgongoni.

H.Baba akiwa amembeba mgongoni mwanae Tanzanite “Namsaidia mke wangu kulea hiyo ni kawaida yangu,” H.Baba ameiambia Bongo5. “Tunasaidiana na wife aingie jikoni, nambembeleza mtoto mpaka analala. Ndo malezi bora kwa mtoto. Kama baba wa familia yangu nampenda mwanangu sana, pia mke wangu ndio roho yangu.”


Tanzanite akiwa amepitiwa usingizi kwenye mgongo wa baba yake
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa