Mwanzo » » NEW SONG(AUDIO) MABESTE-HEADACHE (OFFICIAL AUDIO)

NEW SONG(AUDIO) MABESTE-HEADACHE (OFFICIAL AUDIO)

Imewekwa ma Unknown siku Thursday 27 March 2014 | 19:42

Imekuwa tukiona Profile nyingi za wasanii wa mbele zinaonyesha kuwa mbali na uwezo wa kuimba au kuchana au kufanya style yoyote ya muziki wanakuwa na uwezo wa kutayarisha muziki(producer) na hii ni ngoma aliyotayarisha Mabeste mwenye na Producer Dupy kukamilisha na mixing ya goma hiyo na ngoma inakwenda kwa jina ''Headache'' iliyoandaliwa katika studio za Uprise Music.

DOWNLOAD HAPA CHINI



Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa