Mwanzo » » HII KALI: TREY SONGZ AKUBALI KUWA YEYE NI SHOGA NA SIO UTANI.

HII KALI: TREY SONGZ AKUBALI KUWA YEYE NI SHOGA NA SIO UTANI.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday 27 March 2014 | 12:10


Yule rapper na muimbaji mahiri baada ya fununu kusambaa za kuwa yeye anajuhusisha na mapenzi ya jinsia moja na yeye kukaa kimya kwa muda sasa Hatimae Trey songz amezungumza baada ya tweet hii hapa chini kusambaa kwenye mitandao mbalimbali duniani na kuwafikia watu ikiwa inasomeka ‘nadhani ni wakati wa kuwaambia mashabiki wangu, tukiacha utani… mimi ni shoga’
Trey amekanusha hizi taarifa na kwamba hii tweet imetengenezwa tu ila haijatoka na wala hajawahi kuiandika kutoka kwenye account yake ya twitter, yani ni watu tu wameamua kumuharibia kwa kusambaza uwongo.

Screen Shot 2014-03-27 at 11.27.10 AMKwa mujibu wa necolebitchie, Trey amesema ‘The things you people craft up with hatred in your hearts. The things people believe without question, or validity, all baffles me. Photoshop and a retweet is all people need to believe, any and everything. I feel bad for the impressionable, no minds of their own. If I’m gay then Tupac bringing me a ounce for this session wit Biggie tomorrow. No weapon. #LOVE. last tweet was funny doe!!
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa