Mwanzo » » HIZI NI PESA CHAFU, JOSE CHAMELIONE MCKECK AKIHESABU PESA KWA MASHINE.

HIZI NI PESA CHAFU, JOSE CHAMELIONE MCKECK AKIHESABU PESA KWA MASHINE.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday 27 March 2014 | 00:41


Mkali wa nyimbo ya Tubonge kutoka Uganda, Jose Chameleone ambaye ni mmoja kati ya wanamuziki wa Afrika anayetajwa kuwa ana utajiri mkubwa sana, ameonyesha jeuri ya pesa kwa kuzihesabu kwa kutumia mashine.


Kwenye hii picha Jose Chameleone anaonekana akitumia mashine ya kuhesabia pesa akizihesabu dola mia za kimareakani zikiwa kwenye mafungu makubwa ndani ya begi.



Zaidi ya pesa hizo pia Chameleone anamiliki nyumba ya kifahari, magari kama Escalade na mengine pamoja na vitega uchumi.

 


  Chameleone kama anavyojiita, Dr Mayanja anapata kiasi kikubwa cha pesa kwa kufanya matamasha sehemu mbalimbali duniani pamoja na kuandaa yake binafsi.

Kama wiki hii ameandaa tamasha kubwa ambalo amelipa jina la Tubonge East African concert linalotegemewa kushirikisha wasanii wa africa mashariki na hadi sasa limeshadhaminiwa na makapuni makubwa ya Uganda.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa